M2THEP: Vijana tushiriki Uchaguzi #ZamuYako2015

M2THEP

Msanii wa muziki M2TheP, ametumia nafasi yake kama kijana mwenye ushawishi katika jamii kuwashawishi vijana kujiandikisha kwa wingi na kushiriki katika suala zima la uchaguzi mwezi Oktoba mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS