Mayweather ampiga Pacquiao na kutwaa taji la WBC

Mayweather akinyoosha juu mkono kama ishara ya ushindi muda mfupi baada ya pambano hilo kufikia mwisho.

Bondia mmarekani Floyd Mayweather leo ametwaa taji la Ubingwa wa ndondi la Walter weight, linalotambuliwa na Shirikisho la Masumbwi Duniani – WBC baada ya kumshinda kwa alama nyingi, hasimu wake wa muda mrefu, bondia mfilipino Manny Pacquiao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS