Sekondari Morogoro zajiandaa na FEASSA Shule za sekondari zilizoko mkoani Morogoro zimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Afrika Mashariki na Kati FEASSA yatakayofanyika mwaka huu nchini Rwanda. Read more about Sekondari Morogoro zajiandaa na FEASSA