Simba, Singano watakiwa TFF na vielelezo Juni 09 Shirikisho la Soka nchini TFF limeagiza mwakilishi wa Klabu ya Simba pamoja na mchezaji wa Simba Ramadhan Singano kufika katika shirikisho hilo Juni tisa mwaka huu kwa ajili ya mazungumzo. Read more about Simba, Singano watakiwa TFF na vielelezo Juni 09