Mashindano ya wazi riadha kufanyika kesho Taifa

Wanariadha watakaoshiriki michuano ya kimataifa ya mabingwa ya Pan African nchini Kenya wanatarajiwa kupatikana katika mashindano ya wazi ya Taifa yatakayofanyika kesho katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS