Njombe kujenga barabara za watembea kwa miguu
Serikali mkoani Njombe inatarajia kufanya ukarabati wa barabara zake na kutengeneza sehemu ya kupita watembea kwa miguu katika eneo la umbali wa mita 700 kwa lengo la kupunguza ajali katika maeneo ambayo barabara ni hatarishi.