Shehena ya zana za uvuvi haramu yateketezwa Kagera

Afisa mfawidhi wa uvuvi mkoa wa Kagera Apolinary Kyojo akiwa katika tukio la uteketezaji wa zana hizo.

Idara ya uvuvi mkoani Kagera imeteketeza kwa moto shehena ya zana haramu za uvuvi zenye thamani ya zaidi ya shilimgi milioni 200 zilizokuwa zikitumika kuangamiza samaki wachanga katika ziwa Victoria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS