Mafunzo kwa wanafunzi yatakuza vipaji - Magani

Chama cha mpira wa Magongo Mkoa wa Dar es salaam DRHA kimesema mafunzo kwa wanafunzo juu ya mchezo huo yatasaidia kuweza kupata timu nzuri zaidi za vijasna watakaosaidia kukuza mchezo huo hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS