Chegge akazia ujumbe Mwananyamala
Chegge, ambaye hivi sasa anabang na project yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina Mwananyamala, ameieleza eNewz kuwa mbali na ubora wa video hiyo, tofauti na video zake nyingine amejikita zaidi katika kusimulia kisa cha kile alichokiimba.