Wanafunzi UDOM waendelea na mgomo kwa siku ya pili
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (Udom) kitivo cha elimu jana waliendelea na mgomo wao wa siku tatu wa kutoingia madarasani kwa madai ya kutoingiziwa fedha zao za kujikimu kwa muda wa miezi mitatu sasa.