WHO yasema janga la kibinadamu latishia Tanzania
Shirika la afya duniani, WHO limesema janga kubwa la kibinadamu linachipuka Tanzania kutokana na maelfu ya wakimbizi wa Burundi kuendelea kumiminika nchini kusaka hifadhi kutokana na mvutano wa kisiasa nchini mwao.