Polisi ilivunja haki za binadamu - Tume
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imebaini ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na polisi kwa kuwapiga na kuwadhalilisha viongozi na Wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF, mwezi Januari mwaka huu.