Mabeste adai ujiko wake Mabeste Baada ya watu wa karibu wa msanii wa Mabeste kulalamikia hatua ya Jux kutotaja mchango wa Mabeste katika ngoma yake ya Sisikii iliyompatia tuzo, mashabiki wa Mabeste wamekuwa na maoni hasi juu yake. Read more about Mabeste adai ujiko wake