CUF yaunda kamati ya kusimamia kazi za Pro.Lipumba
Baraza kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi CUF, Taifa kwa niaba ya Mkutano Mkuu limeunda kamati ya watu watatu watakaofanya kazi zilizoachwa na aliekua mwenyekiti wa chama hicho Pro. Ibrahimu Lipumba.