DK. KIJO-BISIMBA AITAKA JAMII KUTODHARAU WANAWAKE
Mkurugenzi wa Mkuu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Dk. Helen Kijo-Bisimba, ametoa wito kwa jamii kuwachukulia binadamu wote ni sawa, na sio kudharau pale wanapoona mwanamke anagombea nafasi za uongozi.

