Azam FC yapigwa 2-1 na JKT Ruvu mechi ya kirafiki

Mshambuliaji Gaudence Mwaikimba ameiadhibu timu yake ya zamani, Azam FC akitoa mchango mkubwa kwa timu yake mpya, JKT Ruvu kushinda mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika hapo jana uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS