DKT. SLAA AACHANA RASMI NA SIASA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa leo ametangaza kuachana na siasa, na kusema kuwa atabaki kuwa raia wa kawaida akiwatumikia Watanzania katika kile anachokiamini. Read more about DKT. SLAA AACHANA RASMI NA SIASA