Ray C atoa ufafanuzi wa uvumi Staa wa muziki na mwanaharakati wa kupambana na Dawa za Kulevya, Ray C Star wa muziki na mwanaharakati wa kupambana na dawa za kulevya, Ray C ametolea ufafanuzi tetesi za kukatazwa kwenda huko Mombasa Kenya kwa ajili ya onyesho kubwa la muziki. Read more about Ray C atoa ufafanuzi wa uvumi