Staa wa muziki na mwanaharakati wa kupambana na Dawa za Kulevya, Ray C
Hii ni baada ya tukio na hofu ya kumuepusha kurudi katika tatizo la uteja ambalo lilimkolea akiwa katika eneo hilo.
Taarifa hiyo ambayo inasambaa katika mitandao huko Kenya, zinadai kuwa kuzuiwa kwa Ray C kunatokana na serikali kutumia gharama nyingi kumtibu tatizo la uteja huko India, taarifa ambazo Ray C hapa anazitolea ufafanuzi.