Kikosi cha Stars chawasili leo kikitokea Uturuki
Kikosi cha timu ya Taifa Stars kimewasili nchini hii leo kikitokea nchini Uturuki ambapo kiliweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mechi ya kuwania kucheza fainali za AFCON dhidi ya Nigeria itakayopigwa Jumamosi uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
