Dirisha la usajili lafungwa,ITC mwisho Septemba 06
Dirisha la usajili kwa vilabu vya ligi kuu nchini, Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) limefungwa rasmi saa sita usiku hapo jana kwa vilabu ambavyo vilikuwa havijakamilisha usajili wake.

