TGNP waitaka NEC isimamie vyema uchaguzi Okt. 25

Makamu Mkurugenzi wa Tamwa Eda sanga akisisitiza jambo kwenye mkutano

Wanawake nchini Tanzania kupitia mtandao wa Jinsia TGNP wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi isimamie vyema Uchaguzi ili uwe wa Haki, Huru na kujali Usawa wa kijinsia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS