USAILI WA MWISHO DANCE 100% WATIKISA LEO

"Ubunifu katika mashindano", moja kati ya makundi yaliyojitokeza 'The Quest Crew' wakiwa wamevaa kininja.

Usaili wa mwisho wa mashindano makubwa ya Dance 100% 2015, umetingisha anga leo katika viwanja vya Bascketball leaders Club Kinondoni, shughuli ambayo ilianza rasmi rasmi saa nne kamili asubuhi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS