Tusichukulie poa tupige kura kwa faida ya taifa letu. Watanzania wenzangu wakati ni huu wa kuijenga nchi yetu, hivyo kura ndiyo itakayo jenga Tanzania mpya, tusichukulie poa tupige kura kwa faida ya taifa letu. Read more about Tusichukulie poa tupige kura kwa faida ya taifa letu.