Waandishi wa habari washauriwa kuzingatia Maadili
Viongozi wa dini mkoani Mtwara wamewataka waandishi wa habari kutimiza wajibu wao kwa kuielisha jamii namna ya kuishi na kutenda haki ili kudhibiti vitendo vya kifisadi vinavyofanywa na baadhi ya watu.

