Feza Kessy mtafutaji kinoma Staa wa muziki Feza Kessy Staa wa muziki Feza Kessy, ameeleza kuwa mbali na muziki yeye anajishughulisha na ujasiriamali wa kuuza bidhaa mbalimbali, uigizaji, uandishi wa mashairi, pamoja na kazi kubwa ya malezi ya mwanae. Read more about Feza Kessy mtafutaji kinoma