Mungu bariki uchaguzi uwe wa amani. #ZamuYako2015 Tusipende sana kufurahia tusicho kijua kwenye siasa ila tuchague viongozi wanao tufaa na sio vyama. MUNGU UBARIKI UCHAGUZI 2015, MUNGU IBARIKI TANZANIA. Read more about Mungu bariki uchaguzi uwe wa amani. #ZamuYako2015