Nuh Mziwanda: Kujificha kisiasa ni ulimbukeni
Nuh Mziwanda, ametoa dongo la wazi kwa wasanii ambao wanaficha misimamo yo kisiasa, akifananishe kitendo hicho na ulimbukeni, akisema ni vyema kwa msanii anayejielewa kujua yupo upande gani na kuweka wazi msimamo huo.
