Cindy asakwa na polisi Ken, Cindy & Phina Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Cindy Sanyu ameripotiwa kuwa mafichoni akisakwa na polisi baada ya tukio la kumshambulia hasimu wake, msanii wa muziki Phina Mugerwa ambaye kwa muda sasa wamekuwa hawaelewani. Read more about Cindy asakwa na polisi