Wakazi kuinua wasanii, watoto kielimu
Rapa Wakazi ameweka wazi kuwa, katika siku za baadaye endapo atastaafu muziki atajikita zaidi katika kuinua vipaji vya wasanii wachanga, jukumu ambalo anaendelea kujijenga nalo kupitia kusimamia kazi za msanii mkubwa kama Lady Jay Dee kwa sasa.
