Wakazi
Wakazi pia ameweka wazi kuwa pembeni ya muziki katika orodha ya mishe zake, anamiliki shule ya awali na ya msingi, na hii ikiwa inatokana na misingi ya elimu bora ambayo amejengewa na familia, akiwa na nia ya kushare na kutoa elimu kwa wengine pia.
So, Wakazi ikitokea umechepuka, kutoka katika michano, Umeretire, Umestaafu muziki, nini upo na michongo gani pembeni ya muziki.
