Simba yatoa sare na KVZ maandalizi Ligi Kuu
Simba SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na KVZ usiku wa jana Uwanja wa Amaan Zanzibar katika mchezo wa kirafiki ambapo Simba inajiandaa na msimu mpya wa Ligi kuu ya Soka Tanzania bara inayoanza kutimua vumbi Septemba 12 mwaka huu.

.jpg?itok=dcZAwjDT)