Wanasiasa watakiwa kuwa na ajenda uhifadhi utalii
Kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu nchini utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu, wanasiasa nchini wametakiwa kuwa na ajenda za kulinda na kutetea uhifadhi ili kuwa na utalii endelevu kwa manufaa ya wananchi na taifa kwa ujumla.
