Octoba 25, Usikose kupiga kura. Kama tunavyojua kuwa umoja ni nguvu, basi kwa pamoja tujitokeze katika uchaguzi mkuu octoba ili tuweze kupata viongozi imara na wenye uwezo wa kuongoza. Read more about Octoba 25, Usikose kupiga kura.