Maandalizi ligi kuu, Yanga yawasubiri walio Stars Mabingwa wa ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara Yanga wamesema wanatarajia kuanza kambi ya pamoja mara baada ya wachezaji wake walio kambi ya timu ya taifa kumaliza mechi ya hapo kesho. Read more about Maandalizi ligi kuu, Yanga yawasubiri walio Stars