Samatta aomba watanzania kujitokeza kesho Taifa
Mshambuliaji nyota wa Tanzania, Mbwana Samatta amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi hapo kesho kuiunga mkono Taifa Stars dhidi ya Nigeria katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika AFCON.

