Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi amesema hivi karibuni ataanzisha shindano jipya la vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki lenye lengo la kubuni wazo jipya la kibiashara.