Nazizi ajifua kujiweka fiti zaidi
Star wa muziki Nazizi kutoka Kenya, ameendelea kujikita katika suala zima la kujiweka fiti kimazoezi, akiunganisha nguvu zake katika harakati hizo kwa kushirikiana kwa karibu na mwana mazoezi na rapa maafurufu kutoka hapa Bongo, Zola D.

