Wawili wapoteza maisha mkutano wa kampeni Morogoro
Watu wawili wamethibitika kufariki dunia na wengine 17 kujeruhiwa katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa CCM Dkt John Magufuli zilizofanyika jana (Septemba 06, 2015) katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
