Epukeni wanaotumia dini kupata uongozi: Y. Makamba
Katibu Mkuu mstaafu wa chama cha Mapinduzi CCM, Mh. Yusuph Makamba
Watanzania wametakiwa kumuepuka na kumuogopa kama ukoma mtu yeyote bila kujali wadhifa wake anayewania madaraka hasa wa kuliongoza taifa kwa kutumia udini kwa kuwa ataligawa taifa.