Rema: Sikuvunja sheria za uhamiaji
Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Rema Namakula ametolea ufafanuzi kurejea kwake nchini Uganda ghafla akivunja safari yake kuelekea Marekani, sababu pekee ikiwa ni kuzidiwa kuugua kwa mwanae mdogo Aamaal, na si uvunjaji wa taratibu za uhamiaji.

