Vijana tuna nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko. Tuchague viongozi bora watakao tufikisha mbali katika maendeleo ya nchi yetu, tusikubali kutumiwa vibaya na wanasiasa. Read more about Vijana tuna nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko.