Wavu ufukweni kutimua vumbi Oktoba Dar es salaam Mashindano ya Mpira wa Wavu wa Ufukweni ya Mkoa wa Dar es salaam yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi Oktoba 26 mpaka 29 mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about Wavu ufukweni kutimua vumbi Oktoba Dar es salaam