Washiriki riadha Dunia kuondoka Agosti 17

Wanariadha wanne waliofuzu kushiriki mashindano ya Dunia wanatarajia kuondoka nchini Agosti 17 mwaka huu kuelekea nchini China kushiriki mashindano ya Dunia yanayotarajiwa kufanyika Agosti 22 mpaka 30 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS