Wachezaji wa kimataifa Azam FC kuwasili leo. Wachezaji wa kimataifa wa timu ya Azam FC wanatarajiwa kuwasili hii leo kujiunga na timu kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Wachezaji wa kimataifa Azam FC kuwasili leo.