Kibarua cha Benitez kipo mashakani ndani ya Madrid
Kibarua cha kocha wa klabu ya Real Madrid Rafael Benitez kipo mashakani kufuatia bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo kufanya mkutano mchana wa hii leo baada ya mechi ya jana dhidi ya Valencia iliyomalizika kwa sare ya bao 2-2.