Mshindi EA Radio Fantacy League akabidhiwa zawadi
Mshindi wa shindano la East Africa Radio Fantacy League Frank Mugoyoko amekabidhiwa zawadi yake ya kitita cha shilingi milioni moja za kitanzania hii leo katika ofisi za East Africa Radio zilizopo mikocheni jijini Dar es salaam.