Wakulima tumieni teknolojia kuhifadhi mazao-Fatma
Wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara wameshauriwa kutumia teknolojia ya mifuko ya PICS inayotumika kuhifadhia mazao, kama njia bora ya kuyakinga ili yasiharibiwe na wadudu na kuachana na kutumia njia ya kemikali ambayo inaweza kuleta athari baadae.