Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally Yahaya Simba.
Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA), imewapa onyo kali pamoja na kuyapiga faini makampuni matano ya kutoa huduma za mawasiliano ya simu hapa nchini kwa kushindwa kuwalinda wateja wake.