#SKONGA saa 12:00 jioni
Ndani ya Fanaka Memorial sec.school, wanafunzi wamefanya yao kinoma hasa pale kwenye tokelezea, Q and A hadi kwenye Kimbweta hawajaacha kitu. Usikose kuitazama hii uone kile ambacho wanafunzi hawa wamekifanya.
Submitted by richard on Thursday , 31st Dec , 2015